Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,458
Haiwezekani.Single ndio na mie ndio Mkurugenzi mwandamizi wa ma single Tanzania ,,[emoji846][emoji846][emoji846]
Haiwezekani.Single ndio na mie ndio Mkurugenzi mwandamizi wa ma single Tanzania ,,[emoji846][emoji846][emoji846]
Ila watu huwa wanakuandama sana sijuagi shida ni niniNisaidie Mr kahawa.
Kuwa mstaarabu basi futa hiyo picha.Acha Shobo wewe. Unanikataza kutuma picha yangu humu?
Inawezekana, kama na wewe upo single tuchanganye damu basi 😄😄😄 ingawa najua haiwezekani tayari 🤣🤣Haiwezekani.
Duhh kimeumana humu[emoji618][emoji618]Acha Shobo wewe. Unanikataza kutuma picha yangu humu?
[emoji23][emoji23] mie ata sipo singoInawezekana, kama na wewe upo single tuchanganye damu basi [emoji1][emoji1][emoji1] ingawa najua haiwezekani tayari [emoji1787][emoji1787]
Duuh 😅😅😅😬😬😬😬 Alafu nyie hata hamjui mapenzi, kama wetu kuku wa kienyeji vitundu vitundu hadi rahaa.. mida kama hii nakapitia tunaenda kula kababu au vichori, hapo jero tu, ila nyie mnataka piza elfu 32.. ama kweli mtuache tupumue.. shindeni mechi zenu na sie tushinde zetu
Unaona sasa, wote mmeishachukuliwa 😄😄😄😄 wanaume wababe wengine unakuta ana wanne au watano, sie wengine hatuna hata mmoja[emoji23][emoji23] mie ata sipo singo
Kuku wa kienyeji wanatuokoa sanaaa 😄😄😄Duuh 😅😅😅
😅😅😅 kwamba ushafanya ‘Trial and Error’?Alaf hawa wa JF viuno vizito kama fuso engine
We unakosaje kamrembo bwana wee najua hapa unanitania tuUnaona sasa, wote mmeishachukuliwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanaume wababe wengine unakuta ana wanne au watano, sie wengine hatuna hata mmoja
Nilimuuliza hili swali akala kona [emoji2][emoji28][emoji28][emoji28] kwamba ushafanya ‘Trial and Error’?
Unatafuta ugomvi na watu eeeh?Acha Shobo wewe. Unanikataza kutuma picha yangu humu?
Umeona simu ya single.. hata salamu sijapata.. angetokea hata mtoto wa mtu kunipa hi.. kusema love you boy, ila wapiWe unakosaje kamrembo bwana wee najua hapa unanitania tu
Huenda nawaibia mabwana zao, utajuaje sasa dea. Yaan hadi nashangaaIla watu huwa wanakuandama sana sijuagi shida ni nini
Heshima ni kitu cha bure mkuu, hakuna aliye kukataza kutupia picha yako humu ila sio kusave za wengine na kuweka humu jifunze ustaarabu.Acha Shobo wewe. Unanikataza kutuma picha yangu humu?
Tulio soma Cuba ya manzese tushaelewaUmeona simu ya single.. hata salamu sijapataView attachment 2276265View attachment 2276266View attachment 2276267
Afu wakirogwa wanalalamika akati shida wanazitafuta waoHuenda nawaibia mabwana zao, utajuaje sasa dea. Yaan hadi nashangaa
😄😄😄😄 ulikuwa class moja na fidel