Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Hata awe trekta/ kata pila… me ndio nishapenda 🤣🤣🤣unapoteza mda tu, jamaa kiwembe hatari
Hata awe trekta/ kata pila… me ndio nishapenda 🤣🤣🤣unapoteza mda tu, jamaa kiwembe hatari
Nini jiraniAisee.....
utanikumbukaaa.. asie sikia kupitia masikio atasikia kupia maumivu ya mwili😐😐😐 wanaume watulivu tupo hapa hututaki.. haya kwendaaa zakoHata awe trekta/ kata pila… me ndio nishapenda 🤣🤣🤣
Upo wewe na nani? Nitajie ili nichague kabla sijapata maumivu ya mwiliutanikumbukaaa.. asie sikia kupitia masikio atasikia kupia maumivu ya mwili😐😐😐 wanaume watulivu tupo hapa hututaki.. haya kwendaaa zako
Picha gani wewe Bibi? Yaani nifute picha yangu?Kuwa mstaarabu basi futa hiyo picha.
Oh Dear Lord 🙃🙃Picha gani wewe Bibi? Yaani nifute picha yangu?
Kuna fursa gani tena huku
🤣🤣🤣🤣 mzab nitakufa kabla ya siku zangu
mrangi unae ona mtata ndio anajua ku care..🤣🤣🤣🤣 mzab nitakufa kabla ya siku zangu
Mrangi anaonekana mtata sana
Anasbo hapana,, naonaga onaga comments zake.
Kingo simjui..
Wewe… at least nakujua 😁😁 naweza pia kukuonja..
Mkuu 😂😂🙌🙌Muda wa Lunch huu. Nasubiria msosi tyuuuuuu View attachment 2276317
Pata lunch heavy kwa bill yangu tafadhali😍Muda wa Lunch huu. Nasubiria msosi tyuuuuuu View attachment 2276317
Asubuh imepita hivo
Aunt cocastic
View attachment 2276318View attachment 2276319View attachment 2276320



Nilibless Mapema sana ile ile aflajiri shos!!!Bado hujabariki??
😋😋Asubuh imepita hivo
Aunt cocastic
View attachment 2276318View attachment 2276319View attachment 2276320
😂😂😂 nacheka kifilipino hapaPata lunch heavy kwa bill yangu tafadhali😍