Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah kumbe .Kujua misimamo headach za bure, jibu na ukimyaaa.. siku siku unamuomba game, akikunyima game mala tatu mfululizo ujue jini kisirani kaisha kata kamba
Game inarudisha upendo eeh

Ah kumbe .Kujua misimamo headach za bure, jibu na ukimyaaa.. siku siku unamuomba game, akikunyima game mala tatu mfululizo ujue jini kisirani kaisha kata kamba

inachangia kidogo kupatanisha ingawa inaweza isisaidie kitu pia.. mapenzi ni pata potea tuuu 😄😄😄Ah kumbe .
Game inarudisha upendo eeh![]()
Ah sahihi dearYaan kuna watu wanatafuta ugomvi bureee.
mkuu futa hii sio tabia kabisa hebu kuwa mstaarabu heshimu privacy za watuView attachment 2276200
Mimi huyo nimevaa sweta lenye rangi za bendera ya Tanzania. Nasuburia 7600 yangu.
Namshukuru Mungu nipo poa.Amen
U hali gani mdogo wangu
Hasira zote kwishneyinachangia kidogo kupatanisha ingawa inaweza isisaidie kitu pia.. mapenzi ni pata potea tuuu![]()


mkuu anafanya maisha yetu ya kupewa picha yawe magumu hapa.. na katoka online 😐😐mkuu futa hii sio tabia kabisa hebu kuwa mstaarabu heshimu privacy za watu
Ameen asante uncleNawatakia kazi njema na siku yenye baraka tele wote
Saint Anne
Depal
Nations
Mjep
Shimba ya Buyenze
Antonnia
Heaven Sent
sophy27
Rumaiya
QueenDeby
cocastic
Lenie
Christine1
Strawbella
Alayna
Na wengine wote wa jukwaa hili
myoyambendi
Katriel
Kelsea
Nampenda ndiyoUna mpenda au vipi ?
Tabia yake sijaipenda kwakweli humu watu wataacha kupost moods wafanye namna waifute tuumkuu anafanya maisha yetu ya kupewa picha yawe magumu hapa.. na katoka online 😐😐
unapoteza mda tu, jamaa kiwembe hatariNampenda ndiyo
Nisaidie Mr kahawa.
Wee mbaya wewe kwa nini sasa?navyopenda kuachanisha watu... siwezi kuta mmepishana niwapatanishe, nitafanya chini juu mgombani kabisa, ikiwezekana muwe maadui wa kudumu![]()
Aisee.....Nampenda ndiyo
Acha Shobo wewe. Unanikataza kutuma picha yangu humu?mkuu futa hii sio tabia kabisa hebu kuwa mstaarabu heshimu privacy za watu
Sasa sie single unafikiri tunafurahi kuwa peke yetu kwenye chamaWee mbaya wewe kwa nini sasa?
Sasa sie single unafikiri tunafurahi kuwa peke yetu kwenye chama
na wee upo singo?Single ndio na mie ndio Mkurugenzi mwandamizi wa ma single Tanzania ,,🙂🙂🙂na wee upo singo?