Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Juzi usiku tumepiga story wee na ushauri juu, tena alipiga mwenyewe, leo nachambwaaaah, ila mapenzi ni nyokoooooh.
Ah ndo ilivyo inabidi umpe pole huku unamuuliza sasa umeamua nn
Vifaraja vya hapa pale .. ukimsupport kile alichoamua yeye . Ili usionekane mbaya
 
Umbea hauna maana kabisaa, kuingilia mapenzi ya watu, leo nasuuzwa huku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tsup kumenogaa, yaan mie wa kuchambwa hivi na sijibu kitu. Uwiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie namba yako nione unavyochambwa

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]msigwa wa watu
Umeona connection ya baunsa? Wanaume wameisha, hata usiowategemea mwayaaa, nao wako ndani ya industry, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbavu cna hapa lol.
 
Back
Top Bottom