Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umbea hauna maana kabisaa, kuingilia mapenzi ya watu, leo nasuuzwa huku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tsup kumenogaa, yaan mie wa kuchambwa hivi na sijibu kitu. Uwiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wakuchome na moto kabisa 🙍🙍
 
Hiyo ilikuwa makambako__mbeya yaani si unaona dereva anachart hapo huku gari inaenda yenyewe,,halafu wanamsingizia msigwa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda Msigwa ndo anawafanyia wachart huku hawajijui. Woiiiiiih
 
Hahah ajiandae [emoji23][emoji23]
Mimi umbeya naupenda kwa mbali sipendi kusutwa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu hapa hata Co umbea, ni vile nilingilia penzi la watu, mie niliombwa ushauri, kosa langu nn sasa.
Ila watu daaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu hapa hata Co umbea, ni vile nilingilia penzi la watu, mie niliombwa ushauri, kosa langu nn sasa.
Ila watu daaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah pole
Mambo ya mapenzi sio kabisa ni ya kuachia wenyewe ... Watu wamegombana leo kesho hao wamepatana .
 
Tuna namba ya songesha, ununue gas ya mihan wakulipue nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Voda ni wezi hatareee, niliwekaga buku 2, eti ika katwa, afu sasa sikua na deni wala sikuwahi kopa, nlishangaa, kupiga cm kwa wateja naambiwa kuna huduma niliungwa automatically baada ya kusajiri, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
So leo wapi sasa 😉😉😉
 
Back
Top Bottom