Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,249
- 183,135
Asante mr Vocha!! 😘Boss lady💕💕💕
Kama kawaida
Ahsante kwa bonge ya selfie🙏
Asante mr Vocha!! 😘Boss lady💕💕💕
Kama kawaida
Ahsante kwa bonge ya selfie🙏
Nipo church mkuu. Kwenye kongamano la karismatikiJirani uko Qatar au Bahareni....
Fanya hivo jirani ni nimenuna sio kidogo eti😌Nafanya mazoezi kwanza jirani.. nikiweka tu niweze kusemeshwa 😂 😂 😂
Sawasawa...tuko pamoja.Nipo church mkuu. Kwenye kongamano la karismatiki
Yeaah, nilimuahidi na Glenn. Nishamtimizia sasa. Sina denim
Santo sana kipenzi walau mchana wangu unakua fureeesssshhh kabisa [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji2][emoji2] Sasa hivi unafika hapo udsm, usiwaze.Hebu nione vizuri??
Hivi chuku chuku na kavu kavu kuna tofauti kimantiki?Kule kwetu vitu vitamu vinaitwa chukuchuku[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 2274079
Usinue jirani...wewe muhimu sana hapa..furaha yako furaha yetu..Fanya hivo jirani ni nimenuna sio kidogo eti😌
💃💃Live bila chenga
Mambo ni mwemwele mwemwele shouga 😘Aaah boss lady. Naona matokeo siyo mabaya kabisa.
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiii kuna watu wanazingua ujue?
Haya selfika jirani atabasamu basi 😉!Usinue jirani...wewe muhimu sana hapa..furaha yako furaha yetu..
Nipe muda kidoooogo jirani..Haya selfika jirani atabasamu basi 😉!
Fresh mamyNipo love…mambo yako
Endelea kupiga tizi. Lipungue kabisaaaa mamaaMambo ni mwemwele mwemwele shouga [emoji8]
Niko poa jiraniSalama jirani...uko salama?
Unakuja kweli?[emoji2][emoji2] Sasa hivi unafika hapo udsm, usiwaze.