Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Ukifanya nini?Hata mimi
Nakesha
Ukifanya nini?Hata mimi
Nakesha
Waviziaji kama kawaidaa😁
Unaweza kunielekeza jinsi ya kupika kabeji ikatokelezea kama nyama? [emoji16]Mmh sasa wewe kuwa kule inamuhusu nini jamani? Mweeh pole yake
Mama mchungaji ni bahati mbaya sijakutag tuu ila niliamini hukosi maana wewe ni mtaalam wa kuzinyaka🤣Nkamu huwa unanivizia nikitype? Nikirudi nyoyaaaaa🤣🤣🤣
[emoji1787]Kwa nini?
Unahudhuria hii semina?
Umekwenda siku zipi?
Ukiniambia naweza kubahatisha hata bila sura yako naweza kukudabua aisee.
Kama unabisha tupinge!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado sijafikia hatua ya kutoa recipe.Zipo nyingi.
Naweza kuanza upya nikatupa hii niliyoanza nayo. We tiririka tu recipe halijaharibika neno. Nina rundo la kabeji hapa [emoji16][emoji16]
OhooooNaku zoom tu
Sema nini
Upo pahala salama
MnoTumefeli sana!
Nimemshangaa, yaan kanitibua huyu dada lol.Mmh sasa wewe kuwa kule inamuhusu nini jamani? Mweeh pole yake
Basi tusichekane...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado sijafikia hatua ya kutoa recipe.
Najipikia tyuuh
SelfikaNambie mdogo angu
Aselfike hata vidole tyuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Selfika
Nasubiri nikuoneUkifanya nini?
Ikate ndogo ndogo kwanza, ukimaliza uniambie.Unaweza kunielekeza jinsi ya kupika kabeji ikatokelezea kama nyama? [emoji16]
Friji iko empty na sitoki sababu kuna mvua. Nina kabeji kama sita hapa ndani. Nifanyeje sasa jamani?
Eeh ndiyo uzi wa selfikaSelfika
Kwa hiyo unatuhakikishia jimbo halijaenda kwa nshomile? [emoji15][emoji15][emoji15]Hamjafeli wasukuma
Wasikutishe hao[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wanaume wa masters siwawezi, ukichaa wangu nawezana na degree,Huyu kaogopa usimchukulie bwana.
Pisi kali mnachukuliwa kama threat po pote mnaopenda [emoji16][emoji16]