Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Bibi yuko Misungwi huko mjukuu; na anazingua hatari shwaini zake. Hapa nilipo kanibuloku kila mahali hata kosa langu siriazi silijui....[emoji51][emoji51][emoji51]Wee bibi yuko wapi? Au ndo 50/50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazungu bhanaa, khaaaah
Ila hata akiwepo mi napikaga tu nikijisikia....
Na wazungu hawana 50/50. Ni maelewano tu na dynamics za ndani ya nyumba.