Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana. Sijabahatika kumuona. Nitazipitia za siku zote kwa software na nitamuona tu kama alikuwepo. We sema mjanja ukiselfika humu miemoji kama yote vinginevyo na wewe ningekudabua tu kama unahudhuria hii semina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mimi hata ningekuwepo, usingeweza kuniona, wala kunigundua
 
Anayejua kupika kabeji ikawa kama unakula nyama arushe recipe hapa pulizi [emoji16][emoji1545]
20220625_170231.jpg
 
Nipo zangu venue za masters, nachabo watu, kumbe bhana yeye huwa ananionaga mara nyingi, kanifata nimemsalimia kaniuliza nimefata nn pale nkamjibu kuna mtu nmemfata, akanambia yupi hebu mtaje,

Khaaah nkaona huyu anataka kunizingua, nkamuambia namsubir mwenyew, si akaanza kuleta pigo zake za kiwaki, nkaamsha kichaa changu, nimemuoshaa, na nimemuambia akiniona aufyate kabisaa, na sitokoma kwenda pale ko ategemee kuniona sanaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh sasa wewe kuwa kule inamuhusu nini jamani? Mweeh pole yake
 
Nipo zangu venue za masters, nachabo watu, kumbe bhana yeye huwa ananionaga mara nyingi, kanifata nimemsalimia kaniuliza nimefata nn pale nkamjibu kuna mtu nmemfata, akanambia yupi hebu mtaje,

Khaaah nkaona huyu anataka kunizingua, nkamuambia namsubir mwenyew, si akaanza kuleta pigo zake za kiwaki, nkaamsha kichaa changu, nimemuoshaa, na nimemuambia akiniona aufyate kabisaa, na sitokoma kwenda pale ko ategemee kuniona sanaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kaogopa usimchukulie bwana.

Pisi kali mnachukuliwa kama threat po pote mnaopenda [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom