cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,291
Vocha wenzio wanatuma humu au PM sasa no ya nn wew cuzoo.Tatizo lako namba hautak kutuma
Vocha wenzio wanatuma humu au PM sasa no ya nn wew cuzoo.Tatizo lako namba hautak kutuma
Mungu wangu akubariki sana😆Nimeachaaa
Ameeeeeeeen 🙏🙏🙏Mungu wangu akubariki sana😆
Hata sikufikiria hivyo maana jimbo lilikuwa wazi wiki jana tu. Nshomile gani tena katuzidi kete Wasukuma? Halafu jimbo tulipewa kabisa dah!Ana maanisha shemeji yetu ni ishomire
Christine1




Ko ukaamua upotezee picha ya vidoleNimeachaaa
Shukrani mjumbe nawe pia uwe na Usiku mwema!!Haya mwenyekiti usiku mwema
Christine1 unaweza kujibu rafiki?Hata sikufikiria hivyo maana jimbo lilikuwa wazi wiki jana tu. Nshomile gani tena katuzidi kete Wasukuma dah!![]()
Umezidi kuzurula na wewe 🤣🤣Ko ukaamua upotezee picha ya vidole
Tuwekee vidoleeeeeeee Mama MchungajiiiiiiUmezidi kuzurula na wewe![]()








nataka nitume na ya sodaVocha wenzio wanatuma humu au PM sasa no ya nn wew cuzoo.



Ngoja niombe ruhusa kwa Baba MchungajiTuwekee vidoleeeeeeee Mama Mchungajiiiiii![]()
Jmn jmn wasukuma mko wapiHata sikufikiria hivyo maana jimbo lilikuwa wazi wiki jana tu. Nshomile gani tena katuzidi kete Wasukuma? Halafu jimbo tulipewa kabisa dah!![]()
Ooh sawaDada yangu na rafiki katika Kristo tukiteta pembeni unaweza kujali?
Jieleze hapa hapa.
Tunasubiri...Ngoja niombe ruhusa kwa Baba Mchungaji
Amesema eti muda umeenda leo, hadi kesho.Tunasubiri...
Hatulali wala!
Kuna pahala nipoKwendraaaaaaaaaaaaa

Mimi sitalala...Amesema eti muda umeenda leo, hadi kesho.