Kwani huangaliii? π€£π€£π€£π€£Kwa hiyo sisi wengine haturusiwi kukunja nne?π€£π€£π€£
Kumbe kuna kijana wake unampenda,alafu anakulengesha kwanguMkwe wew sio mtu mzuri [emoji1]baada ya kuninyima mpwa wako unanikabidhi kwa sato Hirosh [emoji1]lkn sio mbaya umefnya replacement
Aah nimetoka kidogo. Huyo Cha maneno jamani mweehKwani huangaliii? π€£π€£π€£π€£
Kumbuka ndio kawaambia hivyo πππ
Nanii yule ni vile hakujui vizuri π€£π€£πππ we mwenyewe unajua yale maarifa πππD unanisingizia ujueπ€£π€£π€£π€£π€£
Me mpole sana hata nanii anajua
Tamthilia ya moyo [emoji91]Ah wapo vizuri pia
Yaani nimependea mpira , halafu niliangalia siku sinema zetu nikaona wana tamthilia nzuri ..
Na umuambie kabisa naitwa Osman Asam. π¬Ostadh sema sio mchungaji huyo simtambui
Mimi ni Mtanga wa kwanza kuhengeka
Nimecheka sana πππAah nimetoka kidogo. Huyo Cha maneno jamani mweeh
Shauri yako mwenzio anaweza akakuzidi kete ukanshangaa mpaka anaitwa mrs mzabzabπ€£π€£π€£π€£πππππππ ayeee
Mpe huyu ataniletea nyumbani Lenie
Utashtuka niko Masaki πππππJinsi nitaiingiza mpesa chap na sitapatikanaππππ
SawaHehehe haipatikani hivyo pia [emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante Baba Mchungaji kwa ufafanuzi huu. Mungu na Aniwezeshe kufikia huo umri wa double blessing [emoji1545][emoji1545][emoji1545]nilikuwa naitafakari hii namba. 7 ni namba ya ukamilifu , hapo kuna double 7 .. uki sum hizo namba unapata 14, .. hiyo moja God ( unit ), hiyo 4 pande nne za dunia ( international level ) ukichukua hiyo 14 uki sum inakuja 5 na tano ni namba ya grace.. [emoji91][emoji91][emoji91]
πππππ huogopi kuliwa nauli?Shauri yako mwenzio anaweza akakuzidi kete ukanshangaa mpaka anaitwa mrs mzabzabπ€£π€£π€£π€£
SYB amekukabidhi kwangu wakati unampenda kijana wake.Ni ajabu..Ni upendo au amekutelekeza kwangu?I miss u dear nipo Sana
Naona mkwe kanikabidhisha kwako mazima asije kulalamika mpwa wake kaibiwa
Kama kuliwa tulishaliwa nyingi tuu. Kwani kuliwa nauli ya buku 40 ndio yakusita kweli kutuma...wee leta nambaπππππ huogopi kuliwa nauli?
Heee Iβd nyingine tenaπ³π³π³Na umuambie kabisa naitwa Osman Asam. π¬
Nikulipe?[emoji23]Sifa ya kuweka nne lazima mguu uwe na longitude na latitude [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka jamani Heaven Sent
View attachment 2272014
Kumbe barua ndy sababu? Mwambie kijana wako arudishe moyoTuliona barua fulani yenye mwandiko wako ikatuvuruga akili mi na mpwa wangu. Mpwa alianza kulia mpaka ikabidi nimdabue kofi ili kumuweka sawa. Na tangia hapo kanywea hata raha hana.
Kwema huko lakini? Bado uko kwa Wasukuma wako au umeshaondoka zako?
Mungu muaminifu, siri kubwa ya maisha marefu na hata kuingia agano la miaka unayotaka kuishi ni utoaji katika ufalme wake Mungu. Kuna reference nyingi za matoleo kumkumbusha Mungu. Swala la kuishi miaka ni swala la agano zaidi kati ya mtu na Mungu na unaweza ku seal hilo agano na sadaka.. Nakumbuka mikaa kadhaa nyuma niliweka agano la miaka 75 na ikaja kuwa confirmed na mzee mmoja nilikutana nae hanijui simjui akaja niambie hiyo hiyo age nikajua passed, mzee wangu ilikuwa 99 passed..Asante Baba Mchungaji kwa ufafanuzi huu. Mungu na Aniwezeshe kufikia huo umri wa double blessing [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sawa[emoji28][emoji28][emoji28] we mkubwa sana kaka handsome [emoji3059]
Kaka mwenye kifua chakeβ¦.