Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Ulisikia wapi mkuu?I'm good..Nasikia ulikuwa unaumwa, unaendeleaje
Niliumwa.. nikapona.. hali ya hewa inatuzingua sana
Ulisikia wapi mkuu?I'm good..Nasikia ulikuwa unaumwa, unaendeleaje
Haya nitakutag😂😂😂😂😂 ukirudi kwenye dera niite
Hongera sana shemNdiyo
Nilisikia kutoka kwenye chanzo changu ninachokiaminiUlisikia wapi mkuu?
Niliumwa.. nikapona.. hali ya hewa inatuzingua sana
Namimi nilione😂Asante shos!!! Nakurushia shos angu usiwaze!!
Hii ni juice ya nn?Since I stop alcoholicsView attachment 2271697
Taarifa ulipata wapi? Maana I’m sure marafiki zangu wa humu we sio marafiki zako 😂Nilisikia kutoka kwenye chanzo changu ninachokiamini
Pole sn
Tropical, ni mix ya matunda mbali mbaliHii ni juice ya nn?
Andaa 500mbHahaha noma
Unipasie na mimi nipate kuiona
Inawezekana marafiki zako siyo wangu,lkn hiyo haibadilishi Mimi kujua kwamba najua ulikuwa unaumwa na sasa najua unaendelea vizuri..Ashukuriwe MUNGUTaarifa ulipata wapi? Maana I’m sure marafiki zangu wa humu we sio marafiki zako![]()

😆😀😀 afadhaliNimeishatoa taarifa polisi, siwezi ishi kwa mashaka, na fire extinguisher zangu zote ame hamisha
Habari yako lenie?Haya nitakutag![]()
Njema sana, uhali gani weweHabari yako lenie?

she did our boys pretty bad,, just because of her weird illusions 
Niko poa sn mrembo wanguNjema sana, uhali gani wewe
Wee nabii Tito huyu huyu au 😆😀Mwanamke dera 🤣
Hapa niko kama Nabii Tito 😂View attachment 2271790
HahahahaWeeeh nidifanye nimerogwa tena navopenda mie Uwiii!!![]()
..Nimejikuta Tu nacheka Kwa hii commentSawa MkuuAndaa 500mb