Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
[emoji4]
Bado?Usiwaze shos ngoja kidogo kama 30 mins saivi niko kwenye movement sijaseto
Wee mlongo, mate yanadondoka hapa, nikoweka kimbondi wee.cocastic Cha kuonja kipo[emoji2957]View attachment 2271533
Udongo was kwenu mzurii,kwetu dongo jekundu[emoji41]
Tayari usitoke hapo shos!!!Bado?
Wee sio viazi mmmmh. Akati vinakua mihogo iliyolowekwa nawee, kwan hujui kuchimba? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo,halafu wanaviponda na kupika
Usiache kumwagilia sasa.Udongo was kwenu mzurii,kwetu dongo jekundu[emoji41]View attachment 2271563
Nipo na rafiki angu tunakuja kula kwa lecturer wetu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nifanye nitengeneze kimbondi umenikumbushaWee mlongo, mate yanadondoka hapa, nikoweka kimbondi wee.
Nipo hapa.Tayari usitoke hapo shos!!!
Hicho kizuri kimbondi cha ufuta au karanga wee, noumaaaah.Nifanye nitengeneze kimbondi umenikumbusha
Hivyo napenda na alizeti mweeeeh[emoji2957]
Tayariiii👆👆👆Nipo hapa.
Ina siku 3 haijagusa maji[emoji16],mabomba kwetu ni changamoto sana maji yanasumbua balaa,Usiache kumwagilia sasa.
Aisee [emoji119]Udongo was kwenu mzurii,kwetu dongo jekundu[emoji41]View attachment 2271563
Kwa udongo huyo unaokausha maji, itadumaa wallah,Ina siku 3 haijagusa maji[emoji16],mabomba kwetu ni changamoto sana maji yanasumbua balaa,
Kisimani kuvuta ni changamotu.
Asante shos!!! Nakurushia shos angu usiwaze!!Shougaaaaa angu swetaa hilo unyamaaa sana, puliiiiz nirushie aseeeeh, limekaa kinyawengaaa mnooo.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Woyoooooooh!!!!Asante shos!!! Nakurushia shos angu usiwaze!!