myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Na hii baridi jirani...au sijaelewa arosto gani.Hapa nna arosto balaa jirani, kuna kipengele nakifix hivi.. nimtelezee pusha 😂😂😂 haka ka arosto ka leo ni nouma
Na hii baridi jirani...au sijaelewa arosto gani.Hapa nna arosto balaa jirani, kuna kipengele nakifix hivi.. nimtelezee pusha 😂😂😂 haka ka arosto ka leo ni nouma
Arosto ya kuwaka jirani yanguNa hii baridi jirani...au sijaelewa arosto gani.
😂😂au alipo hamna mtandao😆😆😀😃 itakuwaa yaan saa nyingi kweli page inapanda na kushuka yeye hamalizi khaa 😀
Labda ngoja tuone atamalizaje 😀😀😂😂au alipo hamna mtandao
Hahaha nomaPatience is the virtue
Improvising ain't an option to a real nigga,,, hatutoi 15k lakini still tutaiangalia in hd,,,
wale wa net naija,, dr strange imeshawekwa hukoView attachment 2271743
Au tekno yake ina stuck sana 🤣🤣Labda ngoja tuone atamalizaje 😀😀
Uganda??cocastic shos weekend naswampia hukuuu!!
Nimeishatoa taarifa polisi, siwezi ishi kwa mashaka, na fire extinguisher zangu zote ame hamishaMzee Osman Asam ujipange petrol inauliziwa huko 😀😀
Uzuri huna roho ya hivyo 🤣🤣🤣 acha nije kifua mbelee.. utaliaa badae utanyamazaSiku ya tukio nitakuelekeza kazi yake vizuri 🤨
hiyo adhabu haichukuliki ni nzito🤣🤣 hii adhabu mbona kali sana,,sasa mtu atakomaje ili apate kujifunza?
DahHello Anne,
Natumai unaendelea vema kabisa kwa neema ya Bwana, ukimpendeza Bwana na Wanadamu.
Natoa shukurani zangu za dhati kwako kwa mwaliko wa kutoa pendekezo langu.
Bila kuathiri muktadha wa mada, Niliposema smart way nilimaaisha nini?
Kukubaliana vocha iwe haki ya ladies, kisha ukaacha room ya makubaliano kuvunjwa, to me this ain't smart way.
Ila baada ya kukubaliana ukaenda extra mile kufunga means za uvunjifu wa makubaliano, to me this is smart way.
Kuhitimisha, kukubaliana sponsorship ya vocha iwe haki ya ladies then mkaacha sponsors watoe vocha katika namna haiwapi exclusivity ain't smart way.
Nadhan uwezo wa JF wa kulimiti mkanasha ungesaidia.
Ubarikiwe
🤣🤣🤣🤣Labda ngoja tuone atamalizaje 😀😀
Ulikuwa humalizi kutype..Why Mkuu?
Mambo vp D
Hapa ulikuwa mjamzito
NdiyoHapa ulikuwa mjamzito
Poa. Za wewe?Mambo vp D
Nimeona dimpoz na lips tu😘😍😍Mwanamke dera 🤣
Hapa niko kama Nabii Tito 😂View attachment 2271790
I'm good..Nasikia ulikuwa unaumwa, unaendeleajePoa. Za wewe?
😂😂😂 ukirudi kwenye dera niiteNimeona dimpoz na lips tu😘😍😍
Dera nitaliangalia badae