Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Satoooo...bado hujajua rumaiya Ni Nani??..asee
Unajua kwenye hili jukwaa la selfika ukishinda humu ni rahisi kumjua mtu anapobadili user name maana muda wote mna interact.Nje ya hapo tukikutana huko kwningne inakuwa ngumu sn.Pili ukizoea mwandiko wa mtu ni rahisi kumtambua hata akibadili jina

Mfano huyu jamaangu _King mwandiko wake unafahamika sn ingawa anaongoza kubadili majina km mwizi
 
😂😂😂😂
Sawa taratibu utanizoea na utan'gamua rumaiya ni Nani..😊
 
Back
Top Bottom