Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Na mmi nakuja[emoji4]Coca njoo kule Dakika moja
Na mmi nakuja[emoji4]Coca njoo kule Dakika moja
Kweli nini, acha unaa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 afu kweli
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗!! Lectttttttt 💃😜!!Na mmi nakuja[emoji4]
Ivo ivo bhna haya mambo hayaa
[emoji848]Mmmh hapana, wakati wa, kukitengeneza kikande unaweka chumvi tyuuh., hadi kiive ndo hapo sasa unaunga.
Kwanza kikiwa kibichi ushaona kinavyokuwepo?
[emoji23]Ivo ivo bhna haya mambo hayaa
AweeeeeKweli nini, acha unaa🤣🤣🤣🤣🤣
karohooo kanakuuuma 🤠🤠🤠🤠😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 afu kweli
Rangi yako na yake zina fanana flani hiviKwann unahisi huyo? Toa reasons dea.
Kwa sababu zipi? Na unajua me chips silagi.. na nimefunga 🤣karohooo kanakuuuma 🤠🤠🤠🤠
Figi...Chinese
Yah nakula tu can you imagine sjui kitu na nmesoma cookery miaka 3[emoji23]
Hivi ulisema wewe unakula tu bila kujali eeh?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Havijapishana sana… kama windock na heinkeinJamani hivi Jameson na Jack Daniels ladha yake sawa na wine kama saint Anna au Robertson
hata mie naona upo kwenye mfungo kama wa Yesu 😄😄😄Kwa sababu zipi? Na unajua me chips silagi.. na nimefunga 🤣
Znanchanganya sana hizi
Emu malizia basi yale ya nje 😁hata mie naona upo kwenye mfungo kama wa Yesu 😄😄😄
Hiki bado hakijawekwa,naweka alizeti
Kinakuwa km njugu, ndo unatwangaa, kinashikamana kinakua km ngano iliyokandwa, hapo sasa unakiloweka kidg kwa maji ya chumvi na magadi ndani yake, kilowane Pa1, km dkk 30 had 40 hivi, ndo unaanza kukata ili kipimo unachotaka, ndo unakiweka jikoni kinatokota karibu hata masaa 4 au 5. Na moto uwe mkali vinginevyo kinauva hakiivi.
Ewaaaah ni yeye bhanaa, brooh angu huyooo.Rangi yako na yake zina fanana flani hivi