Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Kwakweli maana mama ni Moto wa kuotea mbali kwenye iyo sekta[emoji23]Tufunge 40 kavu mlimani junia asiambukizwe ubishi na utata
Saint Anne
Kwakweli maana mama ni Moto wa kuotea mbali kwenye iyo sekta[emoji23]Tufunge 40 kavu mlimani junia asiambukizwe ubishi na utata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hiko umelima zao gani?
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli maana mama ni Moto wa kuotea mbali kwenye iyo sekta[emoji23]
Saint Anne
Hicho ni kilimo cha Mbogamboga Kwa mujibu wa Kamanda.Sasa hiko umelima zao gani?
Unifundishe kulima.Hicho ni kilimo cha Mbogamboga Kwa mujibu wa Kamanda.
Kuna kile cha mahindi,nakileta soon.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Magimbi ni mboga?
Hiki chakula gani?cocastic Cha kuonja kipo[emoji2957]View attachment 2271533
Safiiicocastic Cha kuonja kipo[emoji2957]View attachment 2271533
Kinaitwa chikande,Hiki chakula gani?
Ni kama viazi?Kinaitwa chikande,
Sawa,Jiandae...Unifundishe kulima.
Majani yake hutumika kama mboga.Magimbi ni mboga?
Ndiyo,halafu wanaviponda na kupikaNi kama viazi?