Upako kama wote Baba Mchungaji usiku huuThat's the sign of a victory (eh-he-he-he-eh-he-he-he-eh-he-he-he)
That's the sign of a victory (eh-he-he-he-eh-he-he-he-eh-he-he-he)
That's the sign of a victory (eh-he-he-he-eh-he-he-he-eh-he-he-he)
That's the sign of a victory (eh-he-he-he-eh-he-he-he-eh-he-he-he)



🙏🙏🙏. Mungu anatutia sana nguvu , hata katika mazingira ambayo hakuna dalili ya kushinda.Upako kama wote Baba Mchungaji usiku huu![]()
Nina raha moyoni mmhYamenikoleaaaaaaa mashamsham 🔥 🎤 🎶
Na kwako pia jiraniAsubuhi njema
Shikamoo madamNa kwako pia jirani
.Sijakususa shos angu naanzaje kukufanyia hivo mimii!!!😘😘Shouzzzz angu ndo nn kunichunia, na kunichikichia? Ila sawa tyuuh shougaaa.
Nipo mbna nawazoom sana, tangu jana.
🤔🤔Kumbe!
Mniwie radhi kwa kuminya haki yenu.
Pia, nakupongeza sana kwa juhudi za utetezi wa haki zenu.
Ingawa makubaliano bila control ya utekelezaji wa makubaliano ni sawa na bure.
I challenge you kutetea haki zenu in a smart way.
Nimeona shape Moja matata sana!!Uko hooottttttt✌️✌️✌️✌️✌️Usikumwema jamni
Mlale salama
Tufunge 40 kavu mlimani junia asiambukizwe ubishi na utataHahhaha wote wambea tupu na mamaake![]()
Nyimbo tamu sana hiyo….Nina raha moyoni mmh
Bwana umenipa kicheko
Nina raha moyoni mmh
Bwana amenipigania
My fav❤
Amen 😅😅😅Bwana akuangazie nuru za uso wake na kukufadhili, akuinulie uso wake na kukupa amani.
Hahahaaaaaa!!! Kutoana kizazi tena mbona hatari hio!!Sasa mambo ndo hayaaaa.
Hapo sasa ndo uwe na urungu wa kurudisha kizazi nyuma, mbna pambeeeeeeh
![]()