Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Si umeandika wewe?
Si umeandika wewe?
Nimeweka leo jioni, ipo juu.Weka picha tuone
Nitag mchumbaNimeweka leo jioni, ipo juu.
Sasa hivi natoka naenda kujifungia ndani babuKweli Babu Nina wajukuu vyombo sana🙊
Mjukuu usikae sana hapo Nje, nimeona vijana wanajipitisha pitisha Kila saa kukusalimia🤪🤪
Niko poa sana mama mchungajiNiko poa,
Unaendeleaje?
😂😂😂Me siwezi kulima 🤣
Mwambie tu nitamnunulia miwani mingine..
Nimebandika tips bana 😄😂😂😂
Wewe twende tukalime babu kazeeka
Hiko nikikutajia bei yake na nilipokinunua utacheka😂😂Kinaendana na changu..japo changu cha bei chee .
Kaongoo haupoUmekaa kwa wapi
Nipo karibu na jiko hapa
Micasa hiyooLocation?![]()
Lazima kimezidi bei.Hiko nikikutajia bei yake na nilipokinunua utacheka![]()
Eeh nilisahau, kumbe tumeweka tips😂😂Nimebandika tips bana 😄
Tafuteni casual laborers tutalipia
Oh maeneo yako ya kujidai eehMicasa hiyoo

Vizuri kama unaendelea vizuri.Niko poa sana mama mchungaji
Nimekumiss mdogo wangu
Na fashion yake ikipita havirudi tena, ndio shida hiyo.Lazima kimezidi bei.
Mimi nilikuta wamevimwaga kkoo elfu 5..nikajiokotea kimoja .
Aisee nimekivaa sana,hakiishi.
Nimgejua ningechukua vingi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
YaaniNa fashion yake ikipita havirudi tena, ndio shida hiyo.
