Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
Mtumishi ibada iloendaje?😂😂jmn koti IPI
Mbona sikuvaa koti
Mtumishi ibada iloendaje?😂😂jmn koti IPI
Mbona sikuvaa koti
Bilashaka hayo maziwa ni mabichi.Misungwi huku tumeivisha mje tule sasa [emoji16][emoji123][emoji123]
View attachment 2269842
Eeh nipo huku napunguza stressKumbe umejificha huku?
Namaanisha sweta jeusi na kidoti.[emoji23][emoji23]jmn koti IPI
Mbona sikuvaa koti
Ndio nimetoka Moro[emoji23][emoji23] inatetema nini? Mbona nimevaa kiheshima kabisa na kitenge juu dah wanaume nyie[emoji119]
Ufike salama home
Dada wa CPA kumbe wamoShambani as usual, "zao la cocoa😛
Eti eeh?Hapo nimeelewa
Huenda(gi) kanisani
Kwa navyokufahamu
Chimala kule
Mama John hapo
John Mwakangale huko
Wangekukoma kwa kuonekana kwa TV
Hakuna kitu naogopa hapa duniani kama kuogelea..Hahah!Upo kasumulu dear? Jirani kabisa njoo beach tukaogelee mwayaa
Ahahahah huku huwa naingiq Mara chache sanaEeh nipo huku napunguza stress
Nikaribishe bhasUpo kasumulu dear? Jirani kabisa njoo beach tukaogelee mwayaa
ItakujaaaaaaaaaaAhahahah huku huwa naingiq Mara chache sana
By the way wewe sijaona pic yako.
Huku magazeti hayafai...nilikua namwwmbia Christine1 aongeze mwili kidogo...Magazeti?
mzabzab ndiyo mshenga, akikupitisha kwenye kinyang'anyiro basi umepita, ongea naye vizuri
Ikija nitag!! Puliz...Itakujaaaaaaaaaa
Aaah kumbeHuku magazeti hayafai...nilikua namwwmbia Christine1 aongeze mwili kidogo...
Kuna kitu akipunguza mwili unakuja.
Hana tabumzabzab ndiyo mshenga, akikupitisha kwenye kinyang'anyiro basi umepita, ongea naye vizuri
HofyoooooSema
Haki ya Nani
Ngoja nipaki kwanza
Ngoja nimalize ugaliWeka yako, sio misosi kaka mtumishi