Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
😁😁😁 weka na yako basiKumbe ulikua hutanii
Haipo tena
😁😁😁 weka na yako basiKumbe ulikua hutanii
Haipo tena
Amemmulika sana,
Ngoja kwanzaweka na yako basi

Wala hatujakariri sura.Khaaaa
Kwamba wizo umekariri sura Yangu![]()
Weka now basiNgoja kwanza![]()
Upo kwenye kamati?Karibu wizo
Nishatoka semina
Dinner time
TumogheleeeShambani as usual, "zao la cocoa![]()
nasubiri yako damtumishiWeka now basi
Weka yako, sio misosi kaka mtumishinasubiri yako damtumishiView attachment 2269941
Kumbe umejificha huku?Abeeeee
HaahaaaUpo kwenye kamati?
Naona walikupendelea sana kukumulika wii.
Yeah Kyela Matema hiyoo, karibuuTumogheleee
Kyela
😂😂jmn koti IPIWala hatujakariri sura.
Tumeangalia tu kidoti na ike koti yetu na sketi ya njugu mawe.
Itabidi nikukaririKhaaaa
Sina hamu na selfika
Ss mwendo Wa emoj😁
Hii MayeleAah mkuu , inatafakarishaje tena?![]()

😂😂 inatetema nini? Mbona nimevaa kiheshima kabisa na kitenge juu dah wanaume nyie🙌Hii Mayele
Kila nikianza mwendo
Nikipunguza kwenye humps
Inatetema
Halafu nipo mwenyewe
Full A/C
Unadhani kuna usalama hapo![]()
Kumbe jirani,Yeah Kyela Matema hiyoo, karibuu
Hapo nimeelewaAmemmulika sana,
Kile kidoti chetu ni kikekile .
Upo kasumulu dear? Jirani kabisa njoo beach tukaogelee mwayaa