Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,257
- 3,927
Asante sana...Mungu akupiganie matokeo yawe vyemaHahaa kidogo mkuu, karibu shambani tukiwa tunasubiri matokeo ya mitihani ya CPA🤔
Mimi napenda miti ya matunda, siyaoni hapo.
Asante sana...Mungu akupiganie matokeo yawe vyemaHahaa kidogo mkuu, karibu shambani tukiwa tunasubiri matokeo ya mitihani ya CPA🤔
Usijali...yaani by next year mrembo utakuwa na cpa, ndoa na mimba juu🤣🤣🤣🤣Safi mshenga, simamia show hadi mwisho, nakuaminia
Ooh miti ya matunda ipo ila ni mapapai na maparachichi pia siyo mingi, zao kuu huku ni cocoaAsante sana...Mungu akupiganie matokeo yawe vyema
Mimi napenda miti ya matunda, siyaoni hapo.
Hivi wii huwa wanaangalia nini kuwa mwanakamati?Haahaaa
HakikaUsijali...yaani by next year mrembo utakuwa na cpa, ndoa na mimba juu![]()
😄😄😄 Mkuu huyo nimewaachia ulingo, jimbo kaisha tangaza lipo wazi .. mie kwanza nipo na Nuzulati hapo kama kigoma mwisho wa reli .. huniambii kwa mama watoto wanguWee unamuachaje mrembo huyo yeye peke na kabaridi haka...ten kabody hako portablu u akapa mkumbato mmoja safi kbisa
Wapi hiyo Tokyo au?Ooh miti ya matunda ipo ila ni mapapai na maparachichi pia siyo mingi, zao kuu huku ni cocoa
Haya maneno sasa. Chamkanbwana ujue haupo peke yako, pisi kali hii wapo wengi wanamtakaHakika
Itapendeza 2025
Tukianza kulipa Ada ya kajunia
Ila hapo kwenye NdoaHakika
Itapendeza 2025
Tukianza kulipa Ada ya kajunia
KyelaWapi hiyo Tokyo au?
Ngoja nikampe company mrembo maana kwa baridi hili hapaswi kulala bila kukumbatiwa😄😄😄 Mkuu huyo nimewaachia ulingo, jimbo kaisha tangaza lipo wazi .. mie kwanza nipo na Nuzulati hapo kama kigoma mwisho wa reli .. huniambii kwa mama watoto wangu
Nione kwa herufi kubwaHivi wii huwa wanaangalia nini kuwa mwanakamati?
Kama natamani nifanye nini ili nipate nafasi?
Nagraduate na vyote, safii😂😂Usijali...yaani by next year mrembo utakuwa na cpa, ndoa na mimba juu🤣🤣🤣🤣
fanya kugeuka aseMhhh uso utakimbia
Uko sahihi jiraniHahaha au naongopa jirani?
Mbona ndo latest picAisee hizi mbona huwa hauziweki insta?
Nakumbuka ulikataa offer yangu ya mapindi ya CPA bure kabisaa 🤣🤣🤣🤣 sito sahau mwanfunzi mtukutu kweli kweliHahaa kidogo mkuu, karibu shambani tukiwa tunasubiri matokeo ya mitihani ya CPA🤔
Ooh huko sipa manyi sana kama Tokyo anapotoka Mama Mchungaji Heaven SentKyela
Niliogopa mapindi ya ghetto mkuu, ntarudi na watoto mapacha bure😀😀🙌Nakumbuka ulikataa offer yangu ya mapindi ya CPA bure kabisaa 🤣🤣🤣🤣 sito sahau mwanfunzi mtukutu kweli kweli