Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Alafu nashukuru , uliumbwa kwa ajiri yangu kunibadirisha na kuwa real man yule upendaye 🤗🤗😊😊Afeli mara ngapi kifupi nimechoka kupigwa na vitu vizito 😬
Alafu nashukuru , uliumbwa kwa ajiri yangu kunibadirisha na kuwa real man yule upendaye 🤗🤗😊😊Afeli mara ngapi kifupi nimechoka kupigwa na vitu vizito 😬
Kuna Wanaume hawashahili kususwa wala kuachwa basi nawe ni mmoja wapo😁🥰🥰 Mama la mama, uhai wangu, mwenye tafsiri ya maisha yangu
🥰🥰🥰 Najiona Mfalme nakuona MalkiaKuna Wanaume hawashahili kususwa wala kuachwa basi nawe ni mmoja wapo😁
Wenye dimpozi zao shikamooni
Mmmh such a mke duuhMwe huyo atanipiga saba za kichwa atende yeye tu nikitenda mie nyumbani hakukaliki
Tunaomba za rangi jamani 😄😄
Mkuu wewe ni ngosha??🤣Tunaomba za rangi jamani 😄😄
Umeona, nilipata mke . Hata dunia nzima isimame kuniponda atasimama upande wangu .. Kupendwa rahaMmmh such a mke duuh
😄😄😄 Wa ukanda wa huko chiefMkuu wewe ni ngosha??🤣
Bahati mbaya wake wazuri huolewa na mabedui🤣Umeona, nilipata mke . Hata dunia nzima isimame kuniponda atasimama upande wangu .. Kupendwa raha
Ndio maana...wazee wa rangi ya mtume😄😄😄 Wa ukanda wa huko chief
Mkuu comment yako umeandika kimasihara ila kiuhalisia ndio ukweli 🤷🏼♀️Bahati mbaya wake wazuri huolewa na mabedui🤣
Hapo sina masihara ni ukweli mkuuMkuu comment yako umeandika kimasihara ila kiuhalisia ndio ukweli 🤷🏼♀️


