Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,291
- 3,989
Jirani wangu wa chuga...pendeza sana
Jirani wangu wa chuga...pendeza sana
Wasukuma vyakula vyenu burudani sana...navikubali sanaMisungwi huku tumeivisha mje tule sasa [emoji16][emoji123][emoji123]
View attachment 2269842
Mamboyetu hayoMisungwi huku tumeivisha mje tule sasa [emoji16][emoji123][emoji123]
View attachment 2269842
SafiiiNikikuchoka wewe sawa nimejichoka mwenyewe 😍
Aisee, safi jirani.
Nakuja jirani..Misungwi huku tumeivisha mje tule sasa [emoji16][emoji123][emoji123]
View attachment 2269842
Kabisa mkwe!Mamboyetu hayo
Karibu sana jiraniNakuja jirani..
😄😄😄 Umeona mke kutoka tanga .. Hapo nilipata wife najivuniaSafiii
Unaona sasa, mtoto mzuri huna shida na mtu, umekaa nyumbani unasikiliza neno.
🔥🔥🔥🔥🔥
Biurifooo😍
HaibishaniwiSasa mkuu akaze nini?
Kama mtu anakukubali na hajataka mambo mengine anatamani akushike mkono unataka nini zaidi?
Kuna watu wanatamani hata kiumbe mmoja amkubali tu lkn hakuna...akitokea mtu mmoja akatambua uthamani wako unataka nini zaidi?
Shemeki[emoji2321]Mwenyewe [emoji16][emoji16]
Na Mimi nikajisemea huyu anayefanya shooting mbona kammulika sana wifi yetu [emoji23][emoji23][emoji23]Nimemuona Wii Christine1 wakati wa wimbo kwa ajili ya sadaka.
✋🏿 Hi! 🙂Na Mimi nikajisemea huyu anayefanya shooting mbona kammulika sana wifi yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Christine1
Miss T; you were missed.