Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Hello Captain[emoji1538] Hi! [emoji846]
Hello Captain[emoji1538] Hi! [emoji846]
Naona umesuka..View attachment 2269831 [emoji550]
AbeeeeeMama Mchungaji...
Eee ndiooo watu ndo mmekariri sura Yangu kiasi hikiNa Mimi nikajisemea huyu anayefanya shooting mbona kammulika sana wifi yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Christine1
Nimemuona Wii Christine1 wakati wa wimbo kwa ajili ya sadaka.
Hahaha na wabongo tukikuona kwenye TV; utakoma siku hiyo. Alikumulika sana na yeye🤣😂😂Eee ndiooo watu ndo mmekariri sura Yangu kiasi hiki
Mmetisha🙌🙌🙌🙌🙌
Nimepata msj nyingi sana 😁😁😁
Usubiri tu siku utakayoitwa barabarani na watu huwajui😂😂Khaaaa
Kwamba wizo umekariri sura Yangu🙆
Chips zege tia kila kituMisungwi huku tumeivisha mje tule sasa [emoji16][emoji123][emoji123]
View attachment 2269842
KhaaaaUsubiri tu siku utakayoitwa barabarani na watu huwajui😂😂
Hahaha na wabongo tukikuona kwenye TV; utakoma siku hiyo. Alikumulika sana na yeye🤣😂😂
😁😁Naona umesuka..
Leo unaniona mie ee 😁😁Biurifooo😍
Miss you baby girl😘
Marahaba G 🤣Wenye dimpozi zao shikamooni
Thank you sisMiss T; you were missed.
Karibu wizoUsubiri tu siku utakayoitwa barabarani na watu huwajui😂😂
😁 T kama T 🙏Jirani wangu wa chuga...pendeza sana
Miss U TinsleyThank you sis
Missed you too ♥️
Habari ya huko ?
Hapa safiiii.. lift tulikubarianaje kwanza 😬😬Njoo udandie nawe lift za watu 😁View attachment 2269891
Nakujaaaaa (kiroho).Karibu wizo
Nishatoka semina
Dinner time