Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila huu uzi unarudisha maendeleo yangu nyuma yaani siku hizi najikuta sisomi tena nyuzi nyingine humu jf nashinda kwenye huu uzi tu,, maana kila nikiingia kwenye notifications nakuta "fulani liked your post in selfika na jf snap it show it" au "fulani quoted your post in selfika na jf snap it show it"..

Hadi nimalize kulike na kuquote comment zao tena tayari siku imeisha na ninakuwa nimeshachoka kiasi cha kushindwa kuendelea kusoma nyuzi nyingine,, daah ninyi wadau mlioweza ku get over this thread naombeni siri ya mafanikio maana mimi sijui nakwama wapi msaada wajameni..
 
Mwenyewe mekwama kabisaa!
Najikuta naganda humu tuu!
 
Tukio la mshubate lilinitoa kwenye huu uzi automatically

Back
Top Bottom