Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Nani kakuambia nimekuachaa ,😬😬😬😬 unajua kitachofatia ITV nikija kumuona mtotoJirani huyo ni dear ex usiogope😁😁
Nani kakuambia nimekuachaa ,😬😬😬😬 unajua kitachofatia ITV nikija kumuona mtotoJirani huyo ni dear ex usiogope😁😁
Mkuu amekua mkali.........Nani kakuambia nimekuachaa ,😬😬😬😬 unajua kitachofatia ITV nikija kumuona mtoto
😂 😂Na image siku ya hukumu kwenye kufufuliwa mzee baba mwili mzima utakuwa na mbususu🤨
Umeifanya siku ewe kiumbe🤣🤣🤣🤣🤣Na image siku ya hukumu kwenye kufufuliwa mzee baba mwili mzima utakuwa na mbususu🤨
Usikilize habari za masaa yaliyopita, sasa hivi nafika nyumbani mama ulie nizalia baraka 😊😊😊Bora una nambia ukweli hii sikujua😬😁😁
😁😁😁😁yaani mpendwa ni wa kuombewa kwa kweli
🤣🤣🤣 ndio umenichoka kiasi hikiNa image siku ya hukumu kwenye kufufuliwa mzee baba mwili mzima utakuwa na mbususu🤨
😂 😂😁😁😁😁yaani mpendwa ni wa kuombewa kwa kweli
Tumekubaliana haya mambo ya ndani hayatoki nje 😬😬😬 au basi acha nije😁😁😁😁yaani mpendwa ni wa kuombewa kwa kweli
Umetupiwa kwa bin baba🤣🤣🤣 ndio umenichoka kiasi hiki
Nikikuchoka wewe sawa nimejichoka mwenyewe 😍🤣🤣🤣 ndio umenichoka kiasi hiki
🥰🥰 Mama la mama, uhai wangu, mwenye tafsiri ya maisha yanguNikikuchoka wewe sawa nimejichoka mwenyewe 😍