Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Na likutoke kweli
Weeehh wakati bint abiudi mwenyewe alishasemaga hapo hainaga ulokolee weeeeeeeehhhUmtendee kwa upole binti sayuni, nina mkubali mno
Christine1


Eeh Kila kitu ni rahisi sana mbona.Rahisi hivyo
Nilidhani utakaza
Halafu umetia english kozi
Kumenteini status
Sasa mkuu akaze nini?Rahisi hivyo
Nilidhani utakaza
Halafu umetia english kozi
Kumenteini status
Ndiiioooo!!!!! Hivi nawewe ni baba mtumishi eeehh???😉😉😉😉???Sasa mkuu akaze nini?
Kama mtu anakukubali na hajataka mambo mengi anatamani akushikw mkono unatakq nini zaidi?
Kuna watu wanatamani hata kiumbe mmoja amkubali tu lkn hakina...akitokeq mtu mmoja akatambua uthamani wako unataka nini zaidi?
Mwenyewe 😁😁
Kila mtu ni mtumishi wa Mungu kwa nafasi yake, ikiwa unawatendea wengine mazuri wewe ni mtumishi wa Mungu.Ndiiioooo!!!!! Hivi nawewe ni baba mtumishi eeehh???😉😉😉😉???
sawasawa!Kila mtu ni mtumishi wa Mungu kwa nafasi yake, ikiwa unawatendea wengine mazuri wewe ni mtumishi wa Mungu.
Heaven Sent
Yeah, ni kweli. Kila mtu anatumika kwa nafasi yake, sio lazima kuwa Mchungaji.Kila mtu ni mtumishi wa Mungu kwa nafasi yake, ikiwa unawatendea wengine mazuri wewe ni mtumishi wa Mungu.
Heaven Sent
Kazi kazi mkemiaGallius sir bios njoo unitabirie practical ya bios vijana wangu next week wana Mock bana!
Na wote tuseme amenn!!!Yeah, ni kweli. Kila mtu anatumika kwa nafasi yake, sio lazima kuwa Mchungaji.
AmeeeeeeeenNa wote tuseme amenn!!!
Mama K!!! I hope nyote mko bienn kabisa!! Nafurahi kukuona selfika mpendwa!! Tumalizie kipindi kwanza maswali mwisho kabisaaaa😂😂🤣Mwalimu nina swali 🤷🏼♀️
🤨🤨basi bana nimegaili 😁Mama K!!! I hope nyote mko bienn kabisa!! Nafurahi kukuona selfika mpendwa!! Tumalizie kipindi kwanza maswali mwisho kabisaaaa😂😂🤣
Jaribu kutumia browser!!Nikiweka picha inagoma