Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,230
Wese huwa nalikandika kisawasawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona uendelee tafadhali na hiki kipupwe futa la nazi liwe la kutosha.
nimepona Mama angu[emoji1545]
Nimekuwa mvivu kwa kweli ila najitahidi kuiscrub kila baada ya siku moja.
......
Hongera,,usirudie tena kuvaa michuchumio ya kina HS.