Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii memes nimecheka hadi nusu niangushe cm, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu nikakumbuka, ila Dunia jomoneee woiiiiiiiiiih
FB_IMG_16558809991020712.jpg
 
Umezidi kupuyanga na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa sielewi nikae wapi, tsup kuna ubuyuu kwa group la class watu wanachambana kuibiana bwana, haya chimbo nako Ex wife wa Sheikh kacharukwa mbayaaa, kuachwa kubayaa.

Na sitaki kupitwa na umbea wowote.
 
Back
Top Bottom