Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Daah wamemkomesha kweli Nandy, na huku Roy hakumbuki kitu. Ngoja Sada amwambie Yakoub, atawehuka.Yan pamechekesha, na mwenyewe Dori alivyobaki na mshangao 🤣
Yaan amkomeshe na Dori, me kananiboa..
Mbona sina hata picha CaptainUnatuachaje hivi hivi Heaven Sent, hebu nibariki
Bwana wee, we usitake hili jukumu nimuachie Saint Anne la kudai picha, hebu tendea uzi haki, ujue sikuwahi kukuona hata unyayo.Mbona sina hata picha Captain
Mmmmh ya kweli hayo?Bwana wee, we usitake hili jukumu nimuachie Saint Anne la kudai picha, hebu tendea uzi haki, ujue sikuwahi kukuona hata unyayo.
Namdai vipi wakati sijamaliza kukudai[emoji3064]Bwana wee, we usitake hili jukumu nimuachie Saint Anne la kudai picha, hebu tendea uzi haki, ujue sikuwahi kukuona hata unyayo.
Leo birthday gelo kuna namna naona Wingu linashuka.
Em nisimulie kidogoLeo birthday gelo kuna namna naona Wingu linashuka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni maombi tu[emoji23]Em nisimulie kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the same.Huwa tu sina hobby na sherehe..
Nitafanya namna tu nikwepe,nisihudhurie...kama Kuna mchango nitatoa lakini kwenda kusikiliza kelele za sherehe hapana kwa kweli.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila cuzooo jaman.nishaituma moja kwa moja kiwandan carifonia kwaajil yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.anataka ya azam
Wewe huyo hupendi shughuli? Au unaselect zile za watu wa karibu sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the same.
Ni wapi hapa?
Ukiweka ni tag.
Mie na haki ya kumdai Heaven Sent, sijawahi kumuona, we ulishaona picha zangu nyingi.Namdai vipi wakati sijamaliza kukudai[emoji3064]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nipo hapa, nimechoka sina nguvu, shule iishe nidange vizuri mie,[emoji848]
Coca yuko wapi kwanza?
Alitaka kula keki,naona ndugu zake hapa wapo kuhangaika na oda za keki.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Usiponipa hakupi .Mie na haki ya kumdai Heaven Sent, sijawahi kumuona, we ulishaona picha zangu nyingi.
Ukimaliza utakumbuka shule..Nipo hapa, nimechoka sina nguvu, shule iishe nidange vizuri mie,
Aaaah tabu tupu, cake weka naipitia kesho jioni.