LocationNjoo nilipo chap[emoji4]
Viwanja vikubwa hvyo siviwezi
Pole jirani...Naumwa kipenzi!!
Sawasawa jiraniUtu uzima dawa mdogo wangu 😁
SasaNakwambia ka tecno kangu kadogo kalikua kwa pochi huko switched off ile kucheki vocha imepostiwa in a moment weeeeehhh ni nilislide toka [emoji932]fastaaa nikakawasha na kuanza na ya pili thanks God[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Asante jirani!!Pole jirani...
Yani nahisi homa Wige!!Sasa
Ndio utachomwa sindano
Huko/kule[emoji848]
Unaumwa nini tonnia
Mbio[emoji1787]Aje mara ngapi sasa?[emoji1787]
Junia anatupeleka mbio watu tunahangaika huku na huko kutafuta hela.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Aisee
Si ndio hapoAchana na story zake huyo
[emoji1787]Naona mnasogeza masaaa!! All the bests [emoji6]
Asubuhi utakuwa vizuri jirani..Yani nahisi homa Wige!!
Legend[emoji1787]Wakati Mtoto kajiset hapo unaona hadi hataki umfotoe!!
DuhRock city.
Huyu ni wewe au ni aliyekuacha!?Nimeachwa jioni hii sijui nitalalaje Leo nielekezeni bar nzuri View attachment 2268046
Msalimie sanaJirani yangu wa nguvu.. Heaven Sent kesho nitatupia mzigo.. najua utachukua zako za kutosha.. [emoji1][emoji1]