Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Oooh mamaa nini Tena shida??. Waumwa??.Not feeling well today!!!
Enjoy your night wapendwa!!
Oooh mamaa nini Tena shida??. Waumwa??.Not feeling well today!!!
Enjoy your night wapendwa!!
Jirani haya si makusudi sasa. Ubarikiwe kwa surprise, na hongera sana kwa aliyeniwahia🤣🤣🤣🤣🤣Then the lawless one [the Antichrist] will be revealed and the Lord Jesus will slay him with the breath of His mouth and bring him to an end by the appearance of His coming. 😊View attachment 2268010
Miss you 😘
Amen 🙏Ukawe mzima na kuimarika.
Mungu akutunze.Not feeling well today!!!
Enjoy your night wapendwa!!
Naumwa kipenzi!!Oooh mamaa nini Tena shida??. Waumwa??.
HakikaOngeza na msimamo thabiti. Akisema enough ni enough kweli.. na kujali familia zao Kwa Sanaa.
Thank mamy!!
Ah wapiUmeniiga![]()

Moja mgonnjwa amepita nayo asee💃😉 shukrani sana jirani ake!!Jirani haya si makusudi sasa. Ubarikiwe kwa surprise, na hongera sana kwa aliyeniwahia🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha hapo na kaugonjwa kameshtuka kidogo. Hongera sana mkemia.Moja mgonnjwa amebahatika asee💃😉 shukrani sana jirani ake!!
Aliandika kuhusu nini?
Pole mamy, naimani utakuwa sawa tomorrow.Naumwa kipenzi!!
Nakwambia ka tecno kangu kadogo kalikua kwa pochi huko switched off ile kucheki vocha imepostiwa in a moment weeeeehhh ni nilislide toka 🛌fastaaa nikakawasha na kuanza na ya pili thanks God🤣🤣🤣!Hahahaha hapo na kaugonjwa kameshtuka kidogo. Hongera sana mkemia.
Asante love!Pole mamy, naimani utakuwa sawa tomorrow.
Heaven Sent Mmekuzaa👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍Ah wapi
Nimegundua mtu anaweza kukutafuta ili tu mgombane.
Sasa badala kupoteza muda kujitetea au kugombana naye ni bora ukaendelea na mambo mengine.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi nimekaa zangu hapa, nasikia kimlio chao kipya cha "chwii chwii", nikakiignore. Nakuja kuingia nakuta vocha zina dk 3, simu nyingine ipo ndani. Nikaishia tu kucheka.Nakwambia ka tecno kangu kadogo kalikua kwa pochi huko switched off ile kucheki vocha imepostiwa in a moment weeeeehhh ni niliruka toka kitandani fastaaa nikawasha na kuanza na ya pili thanks God!
Mungu ni mwema sana. Nasubiri kuona hilo kwa vitendo



Get well soonNaumwa kipenzi!!
