Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Leo sasaHappy Birthday mtoto mzuri Saint Anne,
Ndio ujitoe ufaham
Teka hisia zake
Kifua teke sana kile
Kahubiri uanamme mbele yake
Tuwakilishe vyema
Leo sasaHappy Birthday mtoto mzuri Saint Anne,
Gud girlAmen[emoji1787]
Ubishi nimeuacha,Nimezaliwa upya.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mwandiko wako unaonyesha unazurura sana lakni mitandaoni🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sizururi sana mie hapa mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitandaoni nazurura mnoo, kuna mtu kanikamata Twitter kupitia muandiko, ila nilimchomolea sio mie.Mwandiko wako unaonyesha unazurura sana lakni mitandaoni[emoji1787]
😂😁 We mchonganishi,Leo sasa
Ndio ujitoe ufaham
Teka hisia zake
Kifua teke sana kile
Kahubiri uanamme mbele yake
Tuwakilishe vyema
Asante Kapteni.[emoji120]Happy Birthday mtoto mzuri Saint Anne,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko nakuja kula cake mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchoyo we.[emoji23]
Sijawahi hudhuria bday ya mtu na mimi mwenyewe kufanya sijawahi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unaendeleaje lakini mrembo? siku imekaaje?
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nye nye nyeee
Kwendaa
Umemsikia Rudiger alichosema
Baada ya kutambulishwa
Santiago Bernabeu[emoji1787][emoji1787]
Asifiwe sifa.Atufigwege Lutufyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo sasa
Ndio ujitoe ufaham
Teka hisia zake
Kifua teke sana kile
Kahubiri uanamme mbele yake
Tuwakilishe vyema
[emoji16]Gud girl
Ameshapiga vyombo huyo,Achana naye.[emoji23][emoji16] We mchonganishi,
Huwa tu sina hobby na sherehe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchoyo we.
Naendelea vizuri..Unaendeleaje lakini mrembo? siku imekaaje?
Niiiiiceeeee…..[emoji16]
Shetani asiingilie tu kati tena.
Sina mpango wa kubishana na mtu kwa lengo la kugombana..nikiona ananipeleka huko basi namuignore tu.
Ni moja kati ya hatua kuingia utu uzima..
I'm born again.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Safi sana, nipo nazunguka.Naendelea vizuri..
Utukufu Kwa Mungu,siku yangu ni tulivu sana na nimekaa Kwa utulivu nikimshukuru Mungu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app