Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nimekaa zangu hapa, nasikia kimlio chao kipya cha "chwii chwii", nikakiignore. Nakuja kuingia nakuta vocha zina dk 3, simu nyingine ipo ndani. Nikaishia tu kucheka.

Ila hiyo moment unavyokukuruka kutafuta simu nyingine, kucopy afu unakuja kuona "umefanikiwa"; raha mnooooo
Ule mlio umenifanya nisitumie tena browser
Unanishtua sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom