Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1655789330348.jpg
 
Happy Birthday mdogo wangu, mama mchungaji, Mungu akupe umri mrefu sana nkamu team June[emoji111][emoji111][emoji111][emoji512][emoji512][emoji512]
Amen Nkamu [emoji847][emoji120]
Kumbe na wewe ni June??Ndiyo maana[emoji1787]
Watu wa June Kuna namna tuna roho ya huruma

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Amen Nkamu [emoji847][emoji120]
Kumbe na wewe ni June??Ndiyo maana[emoji1787]
Watu wa June Kuna namna tuna roho ya huruma

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti tuna huruma😅😅😅😅
Mdogo wangu mimi nimeshajipanga hapa na kapu la kupokea zawadi za birthday
Nautangazia umma wa selfika kuwa mimi ndiye nimeteuliwa na familia kwa ajili ya zoezi hilo
 
Back
Top Bottom