Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kizungu sikijui

Sasa kwanini

Nisikandamize[emoji848][emoji1787]

Halafu

mother tongue pub

Ni mpya na ipo kwa wapi hapo mjini[emoji848]
Mother tongue is a lg which a person has grown up speaking from early childhood….


Kila mtu akagandamize chenye anajua… wa kiswa- engl, wa eng, wa mother tongue, wa codes, wa kisw, wa kichuga nk
 
Saint Anne happy birthday kipenzi[emoji3531]. Ikawe siku yako yenye heri na kumbu kumbu nzuri hapa duniani... Ukawe Nuru, na Neema Kwa watu wote.. Muumba azidi kukuimarisha zaidi katika afya, akili, hekima na maarifa... Iwe siku njema kwako[emoji8].
Amen,

Akhsante dear [emoji3590]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Saint Anne kheri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa ndugu
Ni siku ambayo kwako nahisi itakuwa ya shamlashamla kwa kidogo ulichojaaliwa kulingana na riziki zake Jalaali Insh'Allah

Japo usiwasahau wale waliokufanya ujipongeze kwa siku ya leo , namaanisha baba na mama yako kama wapo wakumbuke leo kwa chochote ila kama hawapo , wakumbuke katika swala na kheri huko waliko.[emoji120][emoji120]

HAPPY BIRTHDAY DAY [emoji512][emoji512]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Amen[emoji847][emoji120]
Namshukuru Mungu Kwa ajili yao.
Huenda wangeamua kupumzika wasizae tena...Lakini wakaona waniongeze na Mimi mwishoooni.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom