Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Yaani una kipaji mimi siwezi kujibizana na watu zaidi ya wawili wakizidi hapo ni kilio au kutoka online kabisa ila wewe🙌🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda watu wanavyo hemkwa na kukasirika, bas mie full burudaan.
Watu wanatoa povu huko hatareeh.