andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,188
- 121,070
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mweeh anko...
Hili ndio tatizo sasa....
Najuta kuzaa mapema, sina uhuru yaani...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mweeh anko...
Wacha wee.Baba wa ubatizo
Sawasawa..Jirani hapoi wala haboi😂😂
Unanifurahisha jiraniii😅😅😅We acha tu., huyo jirani yaniiiii....
Hivi hulali?Jirani hapoi wala haboi😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebana ndio
Ukifanikiwa tuambie tusuggest jina leo ndo kilichokufrahisha iko umeahidiwa family😁😆Wacha wee.
haha picha gani hiyo jamani? Ilikuwa ina dress code gani?Kuna picha yako moja niliiona umekaa kwenye gari miaka miwili/mitatu iliyo pita ukitumia lile jina lingine,nikajisemea tu moyoni..."hiki kitoto kitakuja kuwa kizuri kisipojiharibu rangi...!!"
Ile picha ilikuwa naiangalia mara kwa mara hadi upepo wa ukaguzi ulipo pita bila taarifa...
Asilale kwanza...atupe uelekeo. Kwa jiraniHivi hulali?
Kwamba[emoji848]Wewe ndo umesema
Habari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha mbona kama nimekumbuka 🤣🤣 ile ya mwaka 2019 😆😆 kama ni hii iliyokuja kichwaniKuna picha yako moja niliiona umekaa kwenye gari miaka miwili/mitatu iliyo pita ukitumia lile jina lingine,nikajisemea tu moyoni..."hiki kitoto kitakuja kuwa kizuri kisipojiharibu rangi...!!"
Ile picha ilikuwa naiangalia mara kwa mara hadi upepo wa ukaguzi ulipo pita bila taarifa...
Kwa jirani kunafikika..Uelekeo upi? 🤣 Lenie unaitwa..
Ulivaa jeans huku umekashika kapochi upo kwa kiti ya gari.haha picha gani hiyo jamani? Ilikuwa ina dress code gani?
Jina la mtoto had Jinsia, tayar ishapangwa.Ukifanikiwa tuambie tusuggest jina leo ndo kilichokufrahisha iko umeahidiwa family[emoji16][emoji38]
Asavali umeikumbuka, ulikuwa nachuro. Kipindi kile upo klozi sana na kipiniHahahaha mbona kama nimekumbuka [emoji1787][emoji1787] ile ya mwaka 2019 [emoji38][emoji38] kama ni hii iliyokuja kichwani
Kapochi tena[emoji2297]Ulivaa jeans huku umekashika kapochi upo kwa kiti ya gari.
Salamaaaaah!!Habari
Mama yake kijacho[emoji2321]