Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Malizia hound, usiache jina nusu nisije kuitwa fisi!Sawa Fox 🦊
Malizia hound, usiache jina nusu nisije kuitwa fisi!Sawa Fox 🦊
Amina amina mtumishi katika bwanaa😉😉!Kikubwa furaha na amani mengine tutaongezewa na Muumba
Maajabu ya Mungu.


Naam ndio hivyo..nothing elziAmina amina mtumishi katika bwanaa😉😉!
Unazingua mwanangu 👊👊👊Mbona flat tu mwanangu?
He... jirani. Lini nije kulaMe napika hadi ngalarumu 😹😹 na githeri najua… na ugali la kisukuma 🤣🤣 gumuu, likikukaa kooni waweza kufwa
EeeUnazingua mwanangu 👊👊👊
Ndiwooooooo fanya kunibariki nisinzie Vizuri kipenziHehehehe.....
Ngoja nigugo chap
Eeh wa kishua.Ah niko zangu disney junior 😅😅Nimepelekwa kilazima na yule dogo alikataa jeshi.
Lenie hivi hiyo si ndio jana ulikuwa unajaribu kunihadithia?
😂😂😂😂Ndiwooooooo fanya kunibariki nisinzie Vizuri kipenzi
Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana🤣🤣🤣 dogo anazingua
Ndio, inaitwa Kina nzuriii.
Hapa nakimbia niiwahi
Eendiwoooo mwanangu unazingua kishenzeeeeeeeeee😜😜😛!!😘
Yule raia wangu yuko wapi mwanangu?Eendiwoooo mwanangu unazingua kishenzeeeeeeeeee😜😜😛!!😘