Kabisa imeishaa mbona mwanangu!!😛😜Niko hapa mwanangu, shida imeishaa🤣😂
Me napika hadi ngalarumu 😹😹 na githeri najua… na ugali la kisukuma 🤣🤣 gumuu, likikukaa kooni waweza kufwaUnaweza kupika
Li ugali lya bademhi![]()
Mwanangu ina maana nyingi;Kabisa imeishaa mbona mwanangu!!😛😜
My friend ile avatar imenipotea… sina kopi yake.Ile Avatar ya sura ya mdada mwenye vipuri na henna
Mwanangu ya msela au mwanaaaa!! Baby Zangu wapo shule saivi !! unazingua ujue 🤣🤣🤣Mwanangu ina maana nyingi;
1. Rafiki kipenzi (mwana)
2. Mwanangu=baby😂
Vizuri kabisa na mlenda + satoUnaweza kupika
Li ugali lya bademhi![]()
Nakuaga mjinga lkn sio kivile...naweza kukuacha njia panda Kawe ujue🤣Mwanangu ya msela au mwanaaaa!! unazingua ujue 🤣🤣🤣
Kabisa mwanaaa naona mwaka wako huuuu mbona!Hahaha mwaka huu ni wangu.
Ndio post code ee
KINA??My friend ile avatar imenipotea… sina kopi yake.
Kikubwa furaha na amani mengine tutaongezewa na MuumbaKabisa mwanaaa naona mwaka wako huuuu mbona!
Kina ndio nini dada 😄😄KINA??
Ngoja niingie kazini kuisaka, nikiipata nitakutumia 🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️My friend ile avatar imenipotea… sina kopi yake.
Tamthilia ipo Maisha Magic EastKina ndio nini dada 😄😄
Sawa Fox 🦊Ngoja niingie kazini kuisaka, nikiipata nnitakutumia 🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️