Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Sijui kama nitaielewa 😅Zuri na Ian🤣🤣
Sijui kama nitaielewa 😅Zuri na Ian🤣🤣
Mihela tuSema hitaji lako tuliinue kwa Bwana, mwanangu
Daah jana nilicheka sana. Kuna mtu alicomment kwenye post ya Gara B na wanae: eti daah nyie wenzetu inaonekana hamnaga hata muda wa kuangalia tamthilia za Kikorea, ni kufyatua tu,🤣🤣🤣🤣🤣 me naangalia vyote
Ila Mafufu marufuku 🤣🤣
Watanunua chetiEeh wa kishua.
Dogo aligoma kabisa kwenda Kigoma?
Ukianza kuifuatilia utanielewa vizuri tu. Na Lenie si anakusimulia ilivyoanzaSijui kama nitaielewa 😅
Kumbe vyeti vinanunuliwa eeh?Watanunua cheti
Kausha
Pokea kwa kadiri ya uhitaji wako mwananguMihela tu
Wige 😆😆😆😆😆😆😆Watanunua cheti
Kausha
Wewe mahitaji yako yashaisha mtumishi???🤣🤗🤗Sema hitaji lako tuliinue kwa Bwana, mwanangu
Amina..Pokea kwa kadiri ya uhitaji wako mwanangu
Halafu hio bold na italics ndio swagger gani lakini mwanangu ???🤔🤔🤔Mukimuona huyo mutu
mwambieni ninamumiss Strawbella
Unifanyie mchongo na mimi basiWige 😆😆😆😆😆😆😆
Mahitaji ya mwanadamu hayatakaa yaishe maadam tunaishi...ukipata unahitaji lingineWewe mahitaji yako yashaisha mtumishi???🤣🤗🤗
Msisitizo mwanangu.Ha
Halafu hio bold na italics ndio swagger gani lakini mwanangu ???🤔🤔🤔
Shaka ondoa, si nina ukoo na Mabeo 😅😅😅Unifanyie mchongo na mimi basi
Sawasawa mtumishi!!Mahitaji ya mwanadamu hayatakaa yaishe maadam tunaishi...ukipata unahitaji lingine
Ongeza hivi; kaka NabiiAmina..
Barikiwa kaka mtumishi
Nabii wa mchongo😂Ongeza hivi; kaka Nabii