Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,867
Sasa si ukapike ule 😂😂😂Njaa inauma bana🤣🤣🤣
Sasa si ukapike ule 😂😂😂Njaa inauma bana🤣🤣🤣
Oh Yes! Simuoni siku hizi, au amebadili jina?!
Warembo kama nyieSasa si ukapike ule [emoji23][emoji23][emoji23]
Wscha niende maana network ishaanza kukata hspa🤣🤣Sasa si ukapike ule 😂😂😂
Asingetagika… yuko busy atakuwa..Oh Yes! Simuoni siku hizi, au amebadili jina?!
Tunapika vzuri tuWarembo kama nyie
Mnapika kweli[emoji848]
Zenu ni deliva za
Pizza hamburger chips combo
Makoronya kama hayo
Tupewe na zawadi sasa🤣🤣And the award for liking all comments goes to myoyambendi Heaven Sent
Mnajiweza aisee 😁😁 kongole zenu sanaa
Mie napika weweWarembo kama nyie
Mnapika kweli[emoji848]
Zenu ni deliva za
Pizza hamburger chips combo
Makoronya kama hayo
Miss you Depal, rudisha ile avatar Og bana!Asingetagika… yuko busy atakuwa..
😂😂😂😂 ngoja niende shambani nikawatafutie..Tupewe na zawadi sasa🤣🤣
Og ndiyo ipi mkuu..Miss you Depal, rudisha ile avatar Og bana!
Hahahahaaaa!! Kitambi nukseeeeee😛😛😉😉Hebu nione kitambi?😅
Hakikisha nakiona rafiki yanguHahahahaaaa!! Kitambi nukseeeeee😛😛😉😉
Weee Utakimbia hutaamini bongesa la mtambi HahahaHakikisha nakiona rafiki yangu
Ile Avatar ya sura ya mdada mwenye vipuri na hennaOg ndiyo ipi mkuu..