Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!😜Yule raia wangu yuko wapi mwanangu?
Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!😜Yule raia wangu yuko wapi mwanangu?
Naam yuko so composed sana...ninamkubali sanaa😅😅😅Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!😜
😹😹😹🤣🤣🤣 dogo anazingua
Ndio, inaitwa Kina nzuriii.
Hapa nakimbia niiwahi
Aliekuroga Rumaiya aliekurogaaaa👈👈👈👈🤔🤔🤔!!!!😂😂😂😂
Sinzia Mama sina jipya hataa..
😂😂😂😂...Aliekuroga Rumaiya aliekurogaaaa👈👈👈👈🤔🤔🤔!!!!
Hanaga mambo mengi kabisa shangazi yuko gudo mnooo!Naam yuko so composed sana...ninamkubali sanaa😅😅😅
Ushua gani mamlai 🤣Eeh wa kishua.
Dogo aligoma kabisa kwenda Kigoma?
Hawa wanao ogelea ni kina nani sasa 😄😄Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana
Hilo ndio lenyeweMe napika hadi ngalarumuna githeri najua… na ugali la kisukuma
gumuu, likikukaa kooni waweza kufwa
Si unaangalia mambo ya wazungu, badala ya kuangalia filamu zetu za kutafsiriwa na kina DJ Mafufu?🤣🤣Ushua gani mamlai 🤣
Alikataa, anakwambia yan mm ninyoe kipara? Na ili bichwa?
Nampenda yule mama, wamempatia sana af kafanana sana na watoto wake wakike utasema ni wanae kweli.Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana
Zuri na Ian🤣🤣Hawa wanao ogelea ni kina nani sasa 😄😄
🤣🤣🤣 me naangalia vyoteSi unaangalia mambo ya wazungu, badala ya kuangalia filamu zetu za kutafsiriwa na kina DJ Mafufu?🤣🤣
Umeona eee @strawbellaHanaga mambo mengi kabisa shangazi yuko gudo mnooo!
Yeah ukiangalia facial structures za Hope na Bella utasema ni wanae kweli; japo Bella ni adopted daughter. Au sura ya Zuri na Bella pia.Nampenda yule mama, wamempatia sana af kafanana sana na watoto wake wakike utasema ni wanae kweli.
Sema hitaji lako tuliinue kwa Bwana, mwananguKaka mtumishi
Ndiooooooo ndiiiooo Anko!!Umeona eee @strawbella