Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Mweeh sijarudi bado, marudio yatanihusu.
Ujambo binti
😀😀😀 sawa sawa mama JuniaMweeh sijarudi bado, marudio yatanihusu.
Sijambo, niajee?Ujambo binti
Wasalimie Mai guru na Shups na mifugo na ndizi😀😀😀 sawa sawa mama Junia
Eti humfahamu?!Mkuu ujapona bado? Utubariki tukuone tusiokufaham
Utakutana nao baadae 😹😹Wasalimie Mai guru na Shups na mifugo na ndizi
Kulikoni mkuu 😅😅Niaje
kheee baadae aisee![]()
HopeMungu anasaidia,,, Hali inaimarika Kwa kiasi chake.. usiwazee nitawabarikiii![]()
Umeshafika ukokua unaenda mkurugenzi???Salam za jioni...
Jirani hujamboSijambo, niajee?
Sijambo, mambo ni gani?Jirani hujambo
Mimi wa kawaida tu...visafari vya hapahapa jirani.Umeshafika ukokua unaenda mkurugenzi???
Shwari kabisa..Sijambo, mambo ni gani?
Weeeehhh kwalile selfie wee ni 🙌🙌🙌🙌!!! Sio wa kawaida aseee!! Hongera sana jirani!Mimi wa kawaida tu...visafari vya hapahapa jirani.