Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa inasaidia nini?
Ni kuzuia usilale. Inapanua mishipa ya damu na inaufanya moyo kusukuma damu kwa wingi hivyo mtu unajisikia una nguvu kwa muda. Vijana wa kisasa hunywa hizi drinks wakipaka vumbi lao la Kongo ili eti wapige show za kibabe!

Ukiwa addicted hii hali ya kuwa alert na nguvu ikiisha inabidi unywe tena na tena; tena kwa wingi zaidi. Matumizi yake kwa muda mrefu hatimaye huweza kuleta matatizo ya moyo, presha na hata kisukari. Wengine pia huharibu hata figo japo haijajulikana ni kwa nini hasa.

Marekani na sehemu zingine duniani energy drinks zote zimeanza kuwekewa warning ili watu wazitumie kwa uangalifu.
 
Umeshatoa siri mkuu
 
Duh nimeelewa Sasa.. tatizo vijana wa Sasa hawasikii
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi huyuu?

Usisahau we ndio ulinifundisha kutumia Snapchat😂 sasa Whatsapp GB ningewezaje mie bila msaada wako🤣🤣
Sasa kwanini umehide blue ticks? 😅😅 kumbuka mie ni old user wa wasap GB, sasa kuna mambo nayaona 🤣🤣

Snap yenyewe hutumii sana kama mie 🤣🤣 kujirekodi kutwa mara 3 kama dose ya typhoid
 
Back
Top Bottom