Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli, baba yangu mzazi ni mwislam ila nilibatizwa mama yangu alikuwa mkristo. tangu nipo na miaka mitatu nimeishi Zanzibar, kwenye familia ya kiislam tena ya kiislam haswa mpaka ukubwa huu.
Nishajizoelea madrasa, msikitini, ushungi kila kitu.
Kwa sasa nipo Dubai na ni uislam tu kwa kwenda mbele. Hawajawahi kujua mimi ni mkristo
Waow hongera.
 
Back
Top Bottom