Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Neno mtoto silitakagi maishani mwangu maana linanipa limit ya kufanya mambo fulan kisa mm ni mtoto
kuwa na familia siyo shida,, najua wewe ni mfuatiliaji wa baadhi ya american rappers kutokana na avatars zako,, lil wayne alipata mtoto wake wa kwanza akiwa ana miaka 16 kwahiyo ikawa mtoto kapata mtoto,, sasa yawezekana na wewe ni dingi mtoto..
 
Back
Top Bottom