Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,880
- 22,052
Hebu nitag jamani😜Kakaka kamoja kazuri kametuma picha yake kule juu ndiyo kametukusanya hapa
mwite.
Wa UAE?
Msalimie Sheikh Al Nahyan mkuu
Anaanzia na J? Ni mdada au mkaka?Popote ulipo j ukuje hapa.
Nimekusaidia kusema.
Wa UAE?
You are struggling to fit in mkuu.mimi siyo wa kishua Saint anne ndiyo wa kishua mie nimekulia zangu uswahilini kwenye singeli na midundiko huko umbea ni sehemu ya maisha yetu
Ni kweli sijaonesha bidii. Ila hata huku nafurahia nimeshapazoea.Hujataka tu mm nimeishi na waislam nikiwa 6 yrs mpka natimiza miaka 16 then nikaenda zenji kwa waislam tena. Nineenda madrasa..nimeenda Msikitini ila ukristo sijawahi kuucha. Ilibidi kwa juhudi zangu niitafute imani yangu kwa uhakika japo kipindi hiko pia nilikua naenda kanisani sunday mpka nikahamia misa za wakubwa
Nina Rafiki yangu kipenzi anaishi huko.Chuga!
Basi vizuri maana mwisho wa siku duniani tunafanya kila kitu kutafuta furahaNi kweli sijaonesha bidii. Ila hata huku nafurahia nimeshapazoea.
KaribuNina Rafiki yangu kipenzi anaishi huko.
Nitajawatembelea.
Sawa afandeI doubt that so called analytical mind of yours
Nitamfikishia salamu..Anaanzia na J? Ni mdada au mkaka?
MwiteEti Saint anne nimuite??
Vi ubuyu vya kuficha majina vinachubua mdomoNitamfikishia salamu..
Atakuja


