Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Imebidi niongeze mwanga kwenye simu maana nilikuwa nimepunguza..hivi Africa bado wanawake haturuhusiwi kutongoza wanaume tu jamani??[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Naona mnanucgukulia kama katoto fulani eh. Hpo nilikua tu niko 20 vindevu hakuna. Now days View attachment 1253901
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuwa na familia siyo shida,, najua wewe ni mfuatiliaji wa baadhi ya american rappers kutokana na avatars zako,, lil wayne alipata mtoto wake wa kwanza akiwa ana miaka 16 kwahiyo ikawa mtoto kapata mtoto,, sasa yawezekana na wewe ni dingi mtoto..
Kwakweli Mungu anasaidia sio mtoto mbaya..afu mnaniita mtoto wakati nina familia
 
Back
Top Bottom